Utapiamlo na jitihada zilizochukuliwa na Serikali kuutokomeza.

Usikose kutazama mbashara kipindi cha Mizani leo tarehe 31/01/2024 TBC1.

Leo Jumatano tarehe 31/01/2024 kuanzia saa 3:00 Usiku, Chuo chetu  kitashiriki "Ndani ya Kipindi cha Mizani" kitakachorushwa Mbashara kupitia TBC1 hivyo usikose kufuatilia.

Mada:  “Utapiamlo na jitihada zilizochukuliwa na Serikali kuutokomeza”.

Mzungumzaji: Dkt. Victoria F. Gowele, Mhadhiri katika Idara ya Lishe na Sayansi ya Mlaji - SUA.

Share this page