Na:Suzane Cheddy

 

Serikali imetakiwa kuelekeza nguvu zake katika uboreshaji wa viwanda vya kilimo ,mifugo na uvuvi ili kupunguza uhitaji wa vitu kutoka nje ya nchi kama inavyofanyika hivi sasa.

 

Hayo yamesemwa na mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA Prof. Ali Aboud wakati akizungumza na SUAMEDIA Ofisini kwake.

 

 

                                                                 Prof.Ali Aboud akiwa katika moja ya majukumu yake ya kikazi.( Picha na mtandao)

Prof. Aboud amesema kuwa kilimo ni sekta tegemezi katika viwanda vya mbolea , madawa na zana za kilimo.

 

Aidha Prof.Aboud amesema kuwa ili nchi iweze kufikia  uchumi wa  kati ni lazima iwekeze kwenye kilimo kwakuwa ni sekta inayoweza kupambana na uharibifu wa  Mazingira.

 

 

 

TOA MAONI YAKO HAPA