Na:Vedasto George

Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 52 ya wanawake kote nchini hutumia vipodozi vyenye sumu ambavyo huwasababishia matatizo mbalimbali ikiwamo kansa ya ngozi figo pamoja na kuharibika kwa mimba kwa mama wajawazito. 

Akizungumza na SUA MEDIA ofisini kwake Dk Mwijage Kaikunda amesema kuwa utafiti uliofanyika na asasi isiyokuwa ya kiserikali Envirocare mwaka jana 2016 inaonyesha zaidi ya asilimia 52 ya wanawake hutumia vipodozi vyeny sumu.

 

 

                                                                                      Picha na mtandao.

 Aidha Kaikunda ameongeza kuwa ripoti iliyotolewa asasi hiyo ya Envirocare inaonyesha mikoa ambayo imeathirika zaidi na matumizi ya vipodoz I hivyo ambavyo ni Tanga,Daresalaam,Mwanz ,Dodoma, Arusha,Mbeya pamoja Kilimanjaro.Pia amesema kuwa uenda idadi ya matumizi ya vipodozi vyenye sumu ikaongezeka kutoka asilimia 52 mpka 55 ifikapo mwaka 2020 hadi 2025.

 

TOA MAONI YAKO HAPA