Na: Mwandishi Wetu

Imeelezwa kuwa wasichana wenye umri kuanzia miaka 14 mpaka 24 ndiyo kundi kubwa nchini dhidi ya mimba za utotoni na maambukizi ya magonjwa mbalimbali yakiwemo UKIMWI

Hayo yamesemwa na mratibu wa asasi isiyo ya kiserikali  Bw. Johnson John wakati akitoa mafunzo ya elimu rika  mjini Morogoro kwa wasichana 48 kutoka sehemu mbalimbali za Mkoa huo

Aidha, makundi mbalimbali yameundwa baina yao ili kwenda kusambaza elimu hiyo ya kujitambua kwa wasichana wengine katika wilaya walizotoka na kupunguza wimbi hilo kubwa la maambukizi ya magonjwa hayo.

 

 

TOA MAONI YAKO HAPA