Na:Farida Mkongwe

Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Morogoro Moruwasa asubu hiii wanafanya usafi katika kituo cha kulea wazee cha Fungafunga pamoja na kukabidhi misaada ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya maji kwa mwaka 2017.

Akizungumza na SUAFM  ofisini kwake afisa uhusiano wa MORUWASA Bi. Getruda Salema amesema misaada itakayo tolewa ni pamoja na unga kilo 100, sukari kilo 50, mafuta ya kula lita 20, maharage kilo 20, mchle kilo 50, majani ya chain a sabuni.

 

Picha na mtandao.

Maadhimisho ya wiki ya maji kwa mwaka huu 2017 yamebeba kauli mbiu isemayo kuwa maji safi na maji taka punguza uchafuzi yatumike kwa ufanisi.

 

Maadhimisho hayo yatafikia kilele chake tarehe 22/03/2017. 

TOA MAONI YAKO HAPA