Na:Halima Katala Mbozi

Wananchi wameaswa kuwa waelewa na kutoa ushirikiano katika vitu vinavyoleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla ili kuiwezesha nchi kufikia uchumi wa kati kama inavyotarajiwa.

Hayo yamesemwa na mkurugenzi  mtendaji wa kampuni ya RAHCO inayojishughulisha na ujenzi wa Reli Eng.Maizo  Mgedzi wakati wa kikao cha kutoa tathmini ya mradi wa ujenzi wa Reli mpya ya Standard Gauge unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.

 Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

   
     Image result for tanzania bureau of statistics logoPicha na mtandao               

Na:Mwandishi Wetu

 

Utafiti wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Tanzania wa awamu ya pili unatarajia kufanyika mwezi Agosti mwaka huu.

 

Akizungumza wakati wa mafunzo ya wadadisi yanayoendelea kufanyika mkoani Dodoma Meneja wa Shughuli za Kitakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Wilfred Mwingira amesema  lengo kuu la utafiti huo ni kufuatilia viashiria vilivyowekwa kwenye utafiti wa awamu ya kwanza ili kutathmini na kujua kama kuna athari yoyote iliyotokea.

 Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

 

       
       Image result for aprmPicha na mtandao                     

 

Na:Kizito Ugulumo

Waatalaam wa Mpango wa Kujitathmini Kiutawala Bora Barani Afrika (APRM) wameelezea kuridhishwa na Serikali ya Rais John Pombe Magufuli katika kusimamia misingi ya Demokrasia na Utawala Bora nchini.

Mkuu wa Kitengo cha Tathmini za Nchi katika Sekretariati ya APRM na Mratibu wa Mchakato wa Tanzania, Dkt. Rachel Mukamunana alitoa kauli hiyo jana jioni jijini Dar es Salaam wakati akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa ripoti ya APRM utakaofanywa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

 Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

     

Subcategories

TOA MAONI YAKO HAPA