Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo baada ya kutajwa katika ripoti za uchunguzi wa biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi iliyoonyesha namna serikali lilivyopoteza matrilioni ya fedha kutokana na sababu mbalimbali.

 Waziri Simbachawene ameandika barua hiyo muda mfupi tu tangu Rais Magufuli alipowataka viongozi wote aliowateua na wametajwa katika ripoti hiyo wakae pembeni ili kupisha uchunguzi ambao utakuwa huru na wa haki.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Save

   

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amezungumzia tukio la kupigwa risasi mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, akiwaomba wananchi wenye taarifa kulisaidia jeshi hilo.

 Muroto amesema leo Alhamisi kuwa wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na wameshafika eneo la tukio nyumbani kwa Lissu.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Save

                      

Na:Farida Mkongwe

Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA  (SUASA) kimetoa msaada wa madawati 70 yenye thamani ya sh. Milion 7 na laki 2 kwa shule ya msingi Mkundi iliyopo manispaa ya Morogoro.

Akikabidhi madawati hayo kwa mkuu wa wilaya ya Morogoro bi. Regina Chonjo ili aweze kukabidhi kwa shule hiyo, Mwenyekiti wa chama hicho Prof. Chacha Werema amesema wameamua kutoa msaada huo ili kuwaondolea adha wanafunzi wa shule hiyo waliokuwa wakiandika huku wakiwa wamekaa chini.

Bofya hapa kwa Habari zaidi..........

 

Subcategories

TOA MAONI YAKO HAPA