Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) kinatangaza mafunzo ya muda mfupi ya Homa ya Papasi (Homa kwa binadamu inayosababishwa na aina ya kupe) yatakayotolewa hivi karibuni kuanzia tarehe 14 - 17 Disemba 2020
Bofya hapo chini kusoma maelekezo zaidi